NgomaNzito
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 559
- 28
Ze Komedi wananiboa siku hizi, hasa yule anayejifanya muhaya mwenye pesa.
Siku hizi naweza kusahau hata muda wa kipindi, nimepoteza interest kabisa.
hunishawishiiii! sishaishikiiiiiiiiii!
Komedy wamefulia haswa!
FUTUHI wako juu sana, vichekeksho vyao vinafurahisha lakini pia vinaibua matatizo halisi katika jamii! Mfano jana ile seen ya Mama kujifungua aliye bebwa na ambulance ya mkokoteni! Hiyo ilikuwa nzuri sana lakini ilibebea ujumbe mzito kwa utawala kwamba hali si shwari, maisha bora ni ndoto! Achilia mbali ile seen ya wamama wanao penda kujiuza ili hali wapo ndani ya ndoa kwa jili ya tamaa, kibwagizo ilikuwa ni ule mtafaruku, wa uteuzi wa mama kuwa mkuu wa Wilaya na jinsi cheo hicho kilivyo vuruga ndoa yao! Kimsingi haya mambo yapo katika jamii ndoa nyingi zimevurugwa kwa ajili ya vyeo vya namna hiyo ambavyo mama hujikuta kazi yuko kaskazini, baba akibaki kusini!
FUTUHI BABU KUBWA huwezi walinganisha na komedi wavaa sketi na blezia!
komedy wamefulia haswa!
futuhi wako juu sana, vichekeksho vyao vinafurahisha lakini pia vinaibua matatizo halisi katika jamii! Mfano jana ile seen ya mama kujifungua aliye bebwa na ambulance ya mkokoteni! Hiyo ilikuwa nzuri sana lakini ilibebea ujumbe mzito kwa utawala kwamba hali si shwari, maisha bora ni ndoto! Achilia mbali ile seen ya wamama wanao penda kujiuza ili hali wapo ndani ya ndoa kwa jili ya tamaa, kibwagizo ilikuwa ni ule mtafaruku, wa uteuzi wa mama kuwa mkuu wa wilaya na jinsi cheo hicho kilivyo vuruga ndoa yao! Kimsingi haya mambo yapo katika jamii ndoa nyingi zimevurugwa kwa ajili ya vyeo vya namna hiyo ambavyo mama hujikuta kazi yuko kaskazini, baba akibaki kusini!
futuhi babu kubwa huwezi walinganisha na komedi wavaa sketi na blezia!
QUOTE=Masanilo;551922]Futuhi ndo kitu gani? Sijaelewa kitu hapa!
Uko sawa kabisa.The comedy wapo juu bado ila wanashuka taratiibuuuuu
Futuhi wapo chini ila wanapanda taratiiiiibbuuuu
Futuhi ndo kitu gani? Sijaelewa kitu hapa!