Nimekuja home iringa kusalimia na nina miez kadhaa ila toka nifike sijajishughulisha na na dada poa wa huku!
bro kama unataka kuludi kwenu ukiwa na kilo kadhaa magoma ya huku!wenyewe tunayaita mazombi yan ukienda ujue lazma unyonye damu! ,kama una mke mtumie nauli aje upunguze hilo balidi ila kama huna fanya ku-import mwanamke toka sehem nyingne ila huku waachiwe wanyalu wenyewe....Ila kama hayatakuingia akilin bhas nenda pale rucco,mkwawa,kona ya kisutu,club 255 mida ya night utapata mazombi ya quality nzur kimuonekano ila sio ndani na kwa bei chee kabisa!