Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Waziri Mkuu wa New Zealand Jacinda Ardern, ametangaza kuwa ni "wakati wa kuanza ukurasa mpya na kurudi kwenye maisha ya kawaida kwa kuondoa Sheria za Covid-19." Kupitia kwenye tangazo hilo,Waziri Mkuu huyo wa
New Zealand sasa ameondoa sheria karibu zote. New Zealand inadai kwamba iliondoa virusi kupitia sheria ngumu zaidi za janga la ugonjwa lolote kuwahi kuwepo ulimwenguni, wakati haikuwa na hata mgonjwa mmoja wa Covid wakati ikiweka Sheria hizo mgumu za Covid,kitu ambacho kilikuwa kichekesho sana !!!
Mabadiliko yaliyofanywa na New Zealand ni sawa na ya Australia au Ulaya.
Katika Mabadiliko hayo,uvaaji wa barakoa hautakuwa wa lazima tena katika maeneo ya umma. Amesema sheria chache za chanjo zikizobaki zitaondolewa katika wiki mbili zijazo.
Kwa watu wengi sana, hizi ni hatua ambazo zimechelewa sana. Kwao, uharibifu tayari umefanywa, ama kutokana na kupoteza kazi kwa sababu ya Vax mandates, au kutokana na kuugua,disability au hata kufa kutokana na chanjo zenyewe za majaribio,wala sio kinachoitwa ugonjwa wa Covid, ambao kimsingi ni kiini macho,zinazoitwa chanjo ndizo zilizokuwa lengo hasa.