Zebra nyingi za mjini Barabara Kuu ya Morogoro - Dodoma nimeshangaa sana kwani zimefutika, mamlaka zipo kimya na hii hali imekua ya muda mrefu na hamna anayechukua hatua.
Hatutarajii mpaka yatokee madhira kwa watu ndiyo mchukue hatua, mamlaka chukueni hatua sasa hivi inatia aibu.
Hatutarajii mpaka yatokee madhira kwa watu ndiyo mchukue hatua, mamlaka chukueni hatua sasa hivi inatia aibu.