Zebra crossings hazina maana tena, zimebaki kama maonyesho tu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Ni nadra sana katika sehemu nyingi zenye Zebra crossings ambazo hakuna traffic police karibu kukuta madereva wa magari, Bajaji au Bodaboda wakiheshimu na kuruhusu watembea kwa miguu kuvuka.

Ni wakati sasas serikali ijikite kujenga madaraja ya juu tu kuvukia badala ya hizi zebra crossings za maonyesho.
 
Hii nchi ina madereva wa hovyo sana. Ukisimama kupisha watu wavuke kwenye zebra
1.Utapigiwa honi
2.Kuna mpumbavu atakuovateki hapo hapo hasa hasa bodaboda.
3. Gari ya nyuma au bodaboda anaweza kukugonga(ishanitokea).
Kuna madereva wa hovyo hata hawajui kama kuna zebra
.
 
Inashangaza sana jinsi barabara za Tanzania zilivyogeuka chaotic, tutakuwa kama Nigeria. Mojawapo ya mambo aliyofanikiwa sana jiwe ni kuweka order na discipline barabarani, sasa hivi ni kama fungulia goli.
 
Hata sirikali yenyewe inawezekana imebaki kama maonyesho pia
Barabara za Tanzania zimekuwa vurugu tupu, ustaarabu 0, bora hata zile enzi za jiwe wakati matrafic walikuwa wanarandaranda barabarani wanafanya shows za kwenye Camera ilikuwa inasaidia.
 
Kuna mmaasai alikuwa barabaran akasikia watu wakiambiwa piten zebra crossing.maasai akasema mbn sion pundamilia wakipita barabaran akaambiwa wanakuja saiv subiria.Akasema ooh kumbe n watu nilifikiria ni zebra.watu wakabak na mshangao!
 
Law of the jungle
 
Inasikitisha sana. Na ndio hapo road rage hutokea.
 
Inashangaza sana jinsi barabara za Tanzania zilivyogeuka chaotic, tutakuwa kama Nigeria. Mojawapo ya mambo aliyofanikiwa sana jiwe ni kuweka order na discipline barabarani, sasa hivi ni kama fungulia goli.
Kuna uzi nimeandika kuhusu vurugu za barabarani. Kuendesha Dar nibstress tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…