Hiyo habari wameshaifuta ilikuwepo kwenye gazeti la alasiri ,Mawakala wa Sultani CCM ambao wapo kituoni wameona hakuna mwanachama mwenzao hata mmoja aliejitokeza kujiandikisha katika uchaguzi utakaofanyika mwezi wa Tano hapo Unguja katika jimbo la Magogoni na kudai kuwa sheria ni kali na wanachama wao wameshindwa kuzitimiza.I m missing a point, ina maana kulkikuwa na malalamiko gani?
Yalikuwa yanamhusu nani?
Hiyo habari wameshaifuta ilikuwepo kwenye gazeti la alasiri ,Mawakala wa Sultani CCM ambao wapo kituoni wameona hakuna mwanachama mwenzao hata mmoja aliejitokeza kujiandikisha katika uchaguzi utakaofanyika mwezi wa Tano hapo Unguja katika jimbo la Magogoni na kudai kuwa sheria ni kali na wanachama wao wameshindwa kuzitimiza.