Zee comedy

arabianfalcon

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
2,285
Reaction score
584
Mambo wana JF?
Jamani nanai ana habari kuhusu mmoja wa hili kundi nilisikia alikua mgonjwa sana kuna mwenye habari ya hali yake inaendeleaje mnijuze?
 
Maskini Mungu atamsaidia hao ndio wakupelekwa India jamani.
 
Kuna siku nilimuona JK alimtembelea hospitali.Tumuombee apone upesi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…