Zelensky: Acheni kucheza na Urusi, vikwazo zaidi viwekwe

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Rais Volodymyr Zelensky ameyataka Mataifa ya Magharibi kuacha michezo na kuiwekea Urusi vikwazo vikali ili kumaliza vita, akisisitiza Ukraine itabaki kuwa Nchi Huru

Siku za hivi karibuni, Zelensky amekuwa akikosoa vikali Nchi za Magharibi huku Vikosi vya Urusi vikijaribu kudhibiti Miji miwili ya Severodonetsk na Lysychansk

Hata hivyo Urusi imeendelea kusisitiza kuwa inatarajia Ukraine ikubali matakwa yake katika mazungumzo yoyote ya Amani

========

Zelenskyy has urged the West to stop playing around with Russia and impose tougher sanctions on Moscow to end its “senseless war” in Ukraine, adding his country would remain independent, the only question was at what price.

Zelenskyy criticism of the West has mounted in recent days as thousands of Russian forces try to encircle the two key cities of Severodonetsk and Lysychansk.

“Ukraine will always be an independent state and it won’t be broken. The only question is what price our people will have to pay for their freedom, and what price Russia will pay for this senseless war against us,” said Zelenskyy in his nighttime address.

“The catastrophic unfolding events could be still stopped if the world treated the situation in Ukraine as if it were facing the same situation, if the powers that be did not play around with Russia but really pressed to end the war,” he added

Source: Al Jazeera
 
Ameanza kuwafokea ndugu zake wa west Africa.......
Atakapokuja kushtuka muda utakua umeisha
 
Huyu Zelenski apuuzwe🤣
Sana tu katika watu wakinga huyu jamaa, watu wake wamekufa nchi imeharibika mwisho wa siku atakubali tu aliyoyakataa ya Russia wakati alitakiwa kuwa smart ok Russia anatukosea lakini tunaweza kushinda hii vita? hatuwezi wacha tuokoe kidogo tulichonacho na tudai chetu kwa kuongea. Sasa leo hawezi kurudi kukubali kwa sababu ataulizwa baada ya nini? Kissinger yule mzee kampa ukweli wape wanachotaka maliza vita.
 
Back
Top Bottom