Tetesi: Zelensky amejiandaa kuikimbia Nchi endapo Trump atatangaza kusitisha msaada

Tetesi: Zelensky amejiandaa kuikimbia Nchi endapo Trump atatangaza kusitisha msaada

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
707
Reaction score
2,572
Duru zinatabanaisha, Zelensky ameshajiandaa kukimbilia uhamishoni Nchini Uingereza endapo tu Rais Trump atatangaza usitishwaji wa msaada wa silaha na fedha zinazofadhiri vita ya Nchi yake dhidi ya Urusi.

Duru.
 
Kosa Atakalo lifanya nihilo
Akikimbia Ndio atakuwa Kajiweka Kwenye Hali mbaya Kuishi kama Panya
Ukrein hawamtaki na Huko Atawindwa
 
Kashindwa kimbia 24022022, akimbie leo, ambapo anaunda silaha, ana uwezo wa kupiga ndani ya Urusi
 
Back
Top Bottom