Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Wachambuzi wa kijeshi zaidi na zaidi wameingia kati kuashiria kuwa Ukraine haiwezi kushinda vita vinavyoendelea katij yaje ba Urusi.
Baadhi ya wachambuzi hao wamesema raisi wa Zelenky katika vita hivi ni kama kwamba kajiingiza kwenye boksi.Hataki kurudi nyuma na hawezi kushinda
Kwa upande wake ikulu ya Marekani imekiri kwa mara nyengine kwamba pamoja na mashambulizi ya Ukraine ya hapa na pale lakini bado haitoshelezi na tayari wako nyuma sana kuliko ilivyotarajiwa.
Kubaki nyuma huko kwa Ukraine imeelezwa kuwa kuingiliana na kampeni za Uraisi zinazotarajiwa kuanza hivi karibuni nchini Marekani na wakati ambapo hali ya hewa iliyokuwa rafiki kufanya mashambulizi hayo nayo iko karibu kubadilika.
Zaidi ya hapo wapiganaji wenyewe wamesema ngome za Urusi kuwazuia wasisonge mbele ni kitu ambacho hawajapata kuona na hawakutarajia. Wamesema vifaru vyote walivyopokea kutoka nchi marafiki havina uwezo kuzipenya.Imebidi warudie vifaru vyao vya enzi za Usoviet ambavyo kidogo vinaweza kujizogeza.