Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Nakumumka hayo Maneno.Yamekuwa hayo tena, mm nikajua vilianzia "CREMEA vitaishia CREMEA".
Ndiyo maana hata kwenye mazungumzo hayupoWafadhili wa Zelensky wamekata tamaa na hii vita, mmoja mmoja anasitisha misaada kwenda Ukraine. Wale waliomshinikiza Zelensky kukataa makubaliano ya amani leo wanajitoa kumsaidia, ndio maana leo anatoa kauli hizo. Hakumbuki kuwa alipitisha tamko la kukataa mazungumzo yoyote ya amani. Huyo mchekeshaji amejikatia tamaa baada ya Trump kuingia madarakani.