Zelensky sasa asema NATO inaiogopa Urusi

Zelensky sasa asema NATO inaiogopa Urusi

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Rais wa Ukraine akiwa sasa amechoshwa na tabia za viongozi wa nchi za NATO ameamua kuwapasha kwa kuwaambia kuwa kimya chao huenda ni kutokana na kuiogopa Urusi. Amesema amesubiri kwa zaidi ya mwezi apatiwe angalau kifaru kimoja lakini hajapokea chochote.Akaongeza kwamba wala hajaomba na hataomba kitu kikubwa isipokuwa ni asilimia moja tu ya silaha zao ili aiangamize Urusi.
Reuters Videos

Zelenskiy asks the West if scared of Russia​

Sun, March 27, 2022, 3:27 PM

STORY: A visibly irritated Ukrainian president demanded late on Saturday (March 26) that Western nations give him tanks, planes and missile defence systems.

Volodymyr Zelenskiy said he wanted only a fraction of military hardware held in stockpiles - and questioned whether NATO was scared of Moscow.

"Only 1% of all NATO aircraft and 1% of all NATO tanks - 1% ! We did not ask for more, and we do not ask for more.

And we have already been waiting for 31 days! So who is running the Euro-Atlantic community? Is it still Moscow, because of threats?”
 
Hahaaha jamaa kaanza kuwaponda wakina mnato.........chawa baada ya kukosa marupurupu
Screenshot_20220327-195614_RT News.jpg
 
Vita ya Chini Russia kashindwa,
Sasa anampiga kwa ndege za kivita,na missiles tu,zile za kutungua kwa mbali..

Anachoomba msaada ni anti missiles na silaha za kisasa zaidi
 
Vita ya Chini Russia kashindwa,
Sasa anampiga kwa ndege za kivita,na missiles tu,zile za kutungua kwa mbali..

Anachoomba msaada ni anti missiles na silaha za kisasa zaidi
Kama wanajeshi wa upande mmoja wanajificha kwa raia utafanyaje sasa maana man to man wanaogopa wanajificha kwa raia halafu wanafany ambush bora tu uwatandike makombora kieleweke
 
Rais wa Ukraine akiwa sasa amechoshwa na tabia za viongozi wa nchi za NATO ameamua kuwapasha kwa kuwaambia kuwa kimya chao huenda ni kutokana na kuiogopa Urusi. Amesema amesubiri kwa zaidi ya mwezi apatiwe angalau kifaru kimoja lakini hajapokea chochote.Akaongeza kwamba wala hajaomba na hataomba kitu kikubwa isipokuwa ni asilimia moja tu ya silaha zao ili aiangamize Urusi.
Reuters Videos

Zelenskiy asks the West if scared of Russia​

Sun, March 27, 2022, 3:27 PM

STORY: A visibly irritated Ukrainian president demanded late on Saturday (March 26) that Western nations give him tanks, planes and missile defence systems.
Volodymyr Zelenskiy said he wanted only a fraction of military hardware held in stockpiles - and questioned whether NATO was scared of Moscow.
"Only 1% of all NATO aircraft and 1% of all NATO tanks - 1% ! We did not ask for more, and we do not ask for more. And we have already been waiting for 31 days! So who is running the Euro-Atlantic community? Is it still Moscow, because of threats?”

[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Mbona tunaambiwa analishambulia jeshi la urusi kwa kasi ya 10g,
 
Hii ni masaa mawili yaliyo pita hii ndio ofa ya Zelensky kwenye majadiliano yanayo anza jumatatu au jumanne

Zelenskyy tells Russian media Ukraine prepared to discuss neutrality status​

Ukraine is prepared to discuss a peace deal with Russia, President Volodymyr Zelenskyy told Russian journalists in a 90 minute video call.
“Security guarantees and neutrality, non-nuclear status of our state. We are ready to go for it. This is the most important point,” Zelenskyy said.
 
Back
Top Bottom