EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
mtego huo , Putin ameelewa ila ww nyumb ndo huelew , Silaha nyingi zinaingizwa ila hawatak kumstua Putin au uimwenguHahaaha jamaa kaanza kuwaponda wakina mnato.........chawa baada ya kukosa marupurupuView attachment 2166255
Jamaa anaguvu sana upande nisha ya gesi na petrol.. ndio muuzaji namba 1 duniani akifuatiwa na mwarabuNATO wanaogopa Putin atachomoa betri ya Gesi... Akiwachomolea mitambo ya gesi tu wote wa ulaya watapata taabu sana
[emoji1][emoji1]Unaingia vitani kwa kutegemea masela haya ndio matokeo yake sasa
Angekua hastuk asingekua anazifumua huko kwenye maghalamtego huo , Putin ameelewa ila ww nyumb ndo huelew , Silaha nyingi zinaingizwa ila hawatak kumstua Putin au uimwengu
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mmh Kwani zile siku 3 hazijapita ili wanajeshi wa Russia wa-surrender sababu ya njaa?[emoji16][emoji16][emoji16]