Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Hehe nani kamegwaNaona watu hawajamwelewa zelensiky,kimsingi jamaa wanaandaa counteroffensive ya katafunua mithili ya Ile ya 2022 iliyoshuhudia urusi akichakazwa na kufurushwa kama mbwamwizi huko Khakivu, kupyansk, izium., Lyman,mycolaiv na maeneo mengine hambapo urusi alifurushwa kama mbwamwizi ndani ya siku chache tu,msije kushangaa pale majeshi ya urusi yatakapochakazwa na kufurushwa na kurudi Moscow kwa spidi ya duma.., ngoja tusubir!
Hivi hujaelewa.Sasa sio Rais wa Ukraine kwa kuwa term yake ilisha-expire na hakuna uchaguzi wowote ambao umeshafanyika.So ni Rais wa Ukraine aliyepita.Infact we can rightly say kwamba Ukraine hakuna Rais sasa.Shida Yako ujinga umekujaa, hivi wewe kwa akili Yako Unaweza kumadress Zelensky kama Rais wa zamani wa Ukraine kwa sasa? former President of Ukraine whose term of Office expired on May 21.
Kipanya uwezo wako wa kupika stories ni wa mithili ya Lucifer mwenyewe,duh,unatisha aisee.Naona watu hawajamwelewa zelensiky,kimsingi jamaa wanaandaa counteroffensive ya katafunua mithili ya Ile ya 2022 iliyoshuhudia urusi akichakazwa na kufurushwa kama mbwamwizi huko Khakivu, kupyansk, izium., Lyman,mycolaiv na maeneo mengine hambapo urusi alifurushwa kama mbwamwizi ndani ya siku chache tu,msije kushangaa pale majeshi ya urusi yatakapochakazwa na kufurushwa na kurudi Moscow kwa spidi ya duma.., ngoja tusubir!
Sasa tuambie kwa sasa Zelensky anaitwa Rais aliyepita?Hivi hujaelewa.Sasa sio Rais wa Ukraine kwa kuwa term yake ilisha-expire na hakuna uchaguzi wowote ambao umeshafanyika.So ni Rais wa Ukraine aliyepita.Infact we can rightly say kwamba Ukraine hakuna Rais sasa.
South China Morning PostZelensky talks about Ukraine CAPITULATION! Says there are too many wounded and dead; doesn't therefore want war for years
JUNE 28, 2024
Volodymyr Zelensky, former President of Ukraine whose term of Office expired on May 21, went on TV yesterday and made clear Ukraine has too many wounded and dead; they do not want the war with Russia to continue . . . video below.
View: https://x.com/KyivPost/status/1806304876621664329His English language skills are not the best, but what he says is quite dramatic:
“We don't have too much time because we have a lot of wounded and dead people on the battlefield and among civilians. That's why we don't want to have this war continue for years. We want to prepare this joint plan and put it on the table for the next peace summit.”
Where is the so-called "main-stream media?" Why has not a single TV Network in the United States or Europe reported this?
Incidentally, this has been CONFIRMED by the Kiev Post Newspaper.
Mpe umkate
Muda wake wa Urais ulishapita 😂Shida Yako ujinga umekujaa, hivi wewe kwa akili Yako Unaweza kumadress Zelensky kama Rais wa zamani wa Ukraine kwa sasa? former President of Ukraine whose term of Office expired on May 21.
Ndiyo umepita kwa sasa nani Rais wa Ukraine?Muda wake wa Urais ulishapita 😂
What is his plan to end this warZelensky talks about Ukraine CAPITULATION! Says there are too many wounded and dead; doesn't therefore want war for years