Zelensky: Urusi imeshambulia hospitali na vituo vya matibabu

Zelensky: Urusi imeshambulia hospitali na vituo vya matibabu

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Imeelezwa kuwa uamuzi wa Urusi kuivamia Ukraine umeharibu hospitali nyingi na vituo vya matibabu hali iliyofanya madaktari kuwa na wakati mgumu katika kufanua huduma zao

Hayo yamesemwa na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy ambaye amesisitiza kuwa kuna vituo 400 vimeharibiwa na kuna changamoto kubwa ya matibabu na dawa hasa maeneo ya Mashariki na Kusini Nchini mwake yanayodhibitiwa na Urusi.

Aidha, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres amesema oparesheni ya tatu ya kuwahamisha raia kutoka mji wa Mariupol na kiwanda cha chuma cha Azovstal kilichozingirwa inaendelea

Guterres amesema, "Natumai maelewano kati ya Moscow na Kyiv kutatoa fursa zaidi ya njia salama kuruhusu raia kuondoka katika maeneo ya mapigano na misaada kuwafikia wahitaji. Lazima tufanye kila linalowezekana kuwaokoa watu hao wanaokabiliwa na mazingira magumu."

Source: Globalnews

=======

Nearly 400 Ukrainian medical centres destroyed, damaged in Russian attacks: Zelenskyy

Russia’s invasion of Ukraine has devastated hundreds of hospitals and other medical institutions and left doctors without drugs to tackle cancer or the ability to perform surgery, President Volodymyr Zelenskyy said.

Zelenskyy said many places lacked even basic antibiotics in eastern and southern Ukraine, the main battlefields.

“If you consider just medical infrastructure, as of today Russian troops have destroyed or damaged nearly 400 healthcare institutions: hospitals, maternity wards, outpatient clinics,” Zelenskyy said in a video address to a medical charity group on Thursday.

In areas occupied by Russian forces the situation was catastrophic, he said.

“This amounts to a complete lack of medication for cancer patients. It means extreme difficulties or a complete lack of insulin for diabetes. It is impossible to carry out surgery. It even means, quite simply, a lack of antibiotics.”

In one of the most widely denounced acts of the war, a maternity hospital was all but destroyed on March 9 in the besieged port city of Mariupol. Russia alleged pictures of the attack were staged and said the site had been used by armed Ukrainian groups.

The Kremlin says it targets only military or strategic sites and does not target civilians. Ukraine daily reports civilian casualties from Russian shelling and fighting, and accuses Russia of war crimes. Russia denies the allegations.

Pavlo Kyrylenko, governor of Donetsk region, said 25 people had been injured in intense shelling in the town of Kramatorsk, site of a railway station bombing last month in which more than 50 died. He said a total of 32 residential buildings had been damaged in the shelling.
 
Juzi nimeona wanajeshi wa Ukraine wameji-record wakiwa ndani ya mabweni ya shule wengine wamelala, wengine wanasafisha silaha zao.Sasa na Mimi nasema Russia chapa kazi fumua fumua hayo majengo popote pale walipojifichia iwe hospital,shuleni etc.Piga mizinga tu.
 
Putin ameanza kufanya mashambulizi ya kigaidi, hii ni dalili kuwa vita ishamshinda!
 
Piga iskander hadi makaburini, maana hao "Azov" wana tabia za panya.
 
Juzi nimeona wanajeshi wa Ukraine wameji-record wakiwa ndani ya mabweni ya shule wengine wamelala, wengine wanasafisha silaha zao.Sasa na Mimi nasema Russia chapa kazi fumua fumua hayo majengo popote pale walipojifichia iwe hospital,shuleni etc.Piga mizinga tu.
Mwamba udhaifu wa Russia kwenye hii operation ni wawazi sana ukisikia amepiga hospitali na majengo ya raia ujue amefyatua missiles kutoka mbali sana labda baharini au kutoka urusi moja kwa moja, vita ya ground ameshindwa huyu jamaa vibaya sana ni wiki ya 10 sasa bado anatumia long range missiles kubahatisha watu na raia wako wapi
 
Hakuna vita kuna operation maalumu
 
Hakuna vita kuna operation maalumu
operation maalum sasa ni wiki ya 10, majenerali wake wanauliwa kila leo sasa wamefikia 10 na May 9 mwezi huu amesema atatangaza vita rasmi baada ya kushindwa kwenye hiyo Operation., ni dalili tosha kwa anguko la Putin mwaka huu
 
Juzi nimeona wanajeshi wa Ukraine wameji-record wakiwa ndani ya mabweni ya shule wengine wamelala, wengine wanasafisha silaha zao.Sasa na Mimi nasema Russia chapa kazi fumua fumua hayo majengo popote pale walipojifichia iwe hospital,shuleni etc.Piga mizinga tu.
Nakazia
 
Back
Top Bottom