Zelensky: Urusi wameshatawala 20% ya eneo la Ukraine

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
1654237319555.png

Rais wa Ukrainee, Volodymyr Zelensky amesema majeshi ya Urusi yanashikilia asilimia 20 ya ardhi ya Ukraine wakati mapigano yakiendelea.

Zelensky amesema hayo wakati akihutubia Bunge la Luxembourg kwa njia ya mtandao Juni 2, 2022.

Hii ni mara yake ya kwanza kutoa kauli hiyo tangu kuanza kwa vita baina ya mataifa hayo mawili Februari 24, 2022.

Wakati huohuo, Urusi imeendelea na mapambano na inakaribia kuushikilia Mji wa Sievierodonetsk ambao upo Mashariki mwa Ukraine.

Source: VOA News

--------------------

Zelenskyy: Russia Occupying 20% of Ukrainian Territory

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy says Russian forces are occupying about 20% of Ukrainian territory as the war approaches its 100th day on Friday and fighting continues on several fronts.

“Just imagine! Constant fighting, which stretched along the front line for more than a thousand kilometers,” Zelenskyy told the Luxembourg parliament in a virtual speech Thursday. He said the Ukrainian area controlled by Moscow’s forces is comparable to the entirety of the Netherlands.

Zelenskyy did not say how much territory Russia has captured since the start of its invasion February 24. Moscow seized Ukraine’s Crimean Peninsula in 2014 and Russia-backed separatists had also captured parts of the eastern Donbas region, where fighting is the most intense now, prior to the invasion.

Ukraine said Thursday its forces have recaptured 20 small towns and villages in the Kherson region in the southern part of the country. Meanwhile, Russian forces continued their assault on Sievierodonetsk, the last major city nominally held by Ukraine in the Luhansk region in the eastern part of the country.

Luhansk Governor Serhiy Haidai said Russia controlled about 70% of the city as fierce street battles took place.

Britain's defense ministry said Russia has taken control of most of the city. The ministry said Ukrainian forces control the main road into Sievierodonetsk, with Russia making "steady local gains, enabled by a heavy concentration of artillery."

A Ukrainian official said Kyiv’s forces were hoping to recapture territory lost earlier in the war in southern Ukraine in part to tie up some Russian forces more focused on fighting in the Donbas region.
 
20% Ni maeneo ya Donbas tuu, ambayo vita bado inaendelea na kuna miji kama Khakiv tayari Ukraine wameugomboa majeshi ya Russia yamesukumwa hadi mpakani kwao na urusi.,

Mitambo inaendelea kufungwa ile kutoka US na Ujerumani, kumbukeni kwamba Marekani wamepitisha bajeti ya miaka 5 zaidi kama vita itafika huko ili kupamba na diktena Putini.
 
yeye mwenyewe analia wewe huku unajipongeza mambo ni mazuri kwa ukrene, kweli?
 
Sasa kama vita imeisha na Russia mahitajio yake yamekamilika kwanini putini hajatangaza serikali huru ya Donbas??
 
20% Ni maeneo ya Donbas tuu, ambayo vita bado inaendelea na kuna miji kama Khakiv tayari Ukraine wameugomboa majeshi ya Russia yamesukumwa hadi mpakani kwao na urusi.,

Mitambo inaendelea kufungwa ile kutoka US na Ujerumani, kumbukeni kwamba Marekani wamepitisha bajeti ya miaka 5 zaidi kama vita itafika huko ili kupamba na diktena Putini.
kwikwikwiii!!!!! wazee wa budget....
 
Na hiyo 20% ni Very potential kwa uchumi wa Ukraine. Industrial area, farm area, coal mining, etc. Wamebakiza patupu eastern area
 
20% Ni maeneo ya Donbas tuu, ambayo vita bado inaendelea na kuna miji kama Khakiv tayari Ukraine wameugomboa majeshi ya Russia yamesukumwa hadi mpakani kwao na urusi.,

Mitambo inaendelea kufungwa ile kutoka US na Ujerumani, kumbukeni kwamba Marekani wamepitisha bajeti ya miaka 5 zaidi kama vita itafika huko ili kupamba na diktena Putini.
[emoji16][emoji16][emoji16] so wewe unajua zaidi kuliko zelensky!? [emoji119] Zelensky analia huko wewe unaleta porojo hapa jf
 
Sasa kama vita imeisha na Russia mahitajio yake yamekamilika kwanini putini hajatangaza serikali huru ya Donbas??
Wapi ambapo umesikia Russia walisema kuwa vita imeisha , halafu Ile sio vita ni operation ya kijeshi toka Russia, Russia Hawa pigani vita Ukraine, Vita Russia atapigana na USA na wakubwa wenzie
 
Operation mwezi 4 sasa mkuu, inaonekana hujui chochote operation mpaka unafika kupoteza majenera zaidi ya 10, ivi unafahamu jenerali kuuwawa?

Unatakiwa uingie vitani mpaka vita inaisha kwa tabu unampoteza jenerali 1 tu sasa urusi wameenda na maji wengi sana halaf mnaaminishwa kwamba ni operation

Sasa kama ni operation mbona putini anaonekana kutayarisha silaha za nuclear?? Mnalishwa maneno na putin na nyinyi mnaitikia tu, putin ni kiongoz muongo leo akisema hivi kesho anasema hivi si wa kutilia maanani, West washamjua wanamuhans wanavyopebda
 
20% Ni maeneo ya Donbas tuu, ambayo vita bado inaendelea na kuna miji kama Khakiv tayari Ukraine wameugomboa majeshi ya Russia yamesukumwa hadi mpakani kwao na urusi.,

Mitambo inaendelea kufungwa ile kutoka US na Ujerumani, kumbukeni kwamba Marekani wamepitisha bajeti ya miaka 5 zaidi kama vita itafika huko ili kupamba na diktena Putini.
US imeidhinisha kupeleka silaha za masafa marefu Ukraine. Muda si mrefu tutasikia ya kusikia.
 
Rais wa Ukrainee, Volodymyr Zelensky amesema majeshi ya Urusi yanashikilia asilimia 20 ya ardhi ya Ukraine wakati mapigano yakiendelea.

Zelensky amesema hayo wakati akihutubia Bunge la Luxembourg kwa njia ya mtandao Juni 2, 2022.

Hii ni mara yake ya kwanza kutoa kauli hiyo tangu kuanza kwa vita baina ya mataifa hayo mawili Februari 24, 2022.

Wakati huohuo, Urusi imeendelea na mapambano na inakaribia kuushikilia Mji wa Sievierodonetsk ambao upo Mashariki mwa Ukraine.

Source: VOA News

--------------------

Zelenskyy: Russia Occupying 20% of Ukrainian Territory

Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy says Russian forces are occupying about 20% of Ukrainian territory as the war approaches its 100th day on Friday and fighting continues on several fronts.

“Just imagine! Constant fighting, which stretched along the front line for more than a thousand kilometers,” Zelenskyy told the Luxembourg parliament in a virtual speech Thursday. He said the Ukrainian area controlled by Moscow’s forces is comparable to the entirety of the Netherlands.

Zelenskyy did not say how much territory Russia has captured since the start of its invasion February 24. Moscow seized Ukraine’s Crimean Peninsula in 2014 and Russia-backed separatists had also captured parts of the eastern Donbas region, where fighting is the most intense now, prior to the invasion.

Ukraine said Thursday its forces have recaptured 20 small towns and villages in the Kherson region in the southern part of the country. Meanwhile, Russian forces continued their assault on Sievierodonetsk, the last major city nominally held by Ukraine in the Luhansk region in the eastern part of the country.

Luhansk Governor Serhiy Haidai said Russia controlled about 70% of the city as fierce street battles took place.

Britain's defense ministry said Russia has taken control of most of the city. The ministry said Ukrainian forces control the main road into Sievierodonetsk, with Russia making "steady local gains, enabled by a heavy concentration of artillery."

A Ukrainian official said Kyiv’s forces were hoping to recapture territory lost earlier in the war in southern Ukraine in part to tie up some Russian forces more focused on fighting in the Donbas region.
Eti Nchi yangu huyo choko angejua kama kuna wachechen wanalishwa pweza wakubwa toka Caspian Sea angejiua mapema kabla haja tiwa mitarimbo ya hizo njembo [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Back
Top Bottom