Uchaguzi 2020 Zelote Stephen- ubunge 2020-2035

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Katika kuhakikisha jimbo la Arusha linarudi CCM. Mhe. Zelote Steven (PhD) ameanza kupiga jaramba kuwania kiti hicho. Wanarusha tumuunge mkono
 
Katika kuhakikisha jimbo la Arusha linarudi CCM. Mhe. Zelote Steven ameanza kupiga jaramba kuwania kiti hicho. Wanarusha tumuunge mkono
Anapoteza muda na nguvu kazi bure! CCM haipo huko Kaskazini!!
 
Acha utani.
Huyo afande asiyejua hata kujieleza jukwaani, eti CCM wamteue kugombea Arusha Mjini?

Yote tisa, hivi ni kitu gani hasa kimepelekea mpaka juzi Magufuli kaamua kumtumbua katika Ukuu wa Mkoa wa Rukwa?
Ni mzigo?
Fisadi?

Maana kipindi kile alipoteuliwa kuwa mkuu wa Mkoa, alikuwa akijigamba kuwa yeye ni mchapakazi hodari, na alikuwa akifanyakazi muda wote na alikuwa akitoka ofisi saa tano usiku!!!
 
Mgambo ameghairi tena au amepima kina akaona sio size yake?
 
Arusha kwa Ubunge hata akigombea Mwenyekiti hapati.
 
Zelothe for Arusha Urban (CCM)
 
Kuwa RPc yatosha kumuondolea sifa ya kugombea ubunge. Mmesahau ya Tibaigana?
 
Wanasema amestaafu.
 
Hakika unamfaham na bila shaka ni mtumishi wa umma Rukwa! taarifa ni kwamba ameomba kupumzika kwakua hes 70+! na aliandika barua mwenyewe! Nadhani alicho kitarajia kimemchosha! alianza kaa mbwembwe..na hawezi kugombea si mtu wa blah blah..sio muongeaji inshort!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…