Uchaguzi 2020 Zelote Stephen- ubunge 2020-2035

Mheshimiwa Dr. Tunakuomba sana uje uokoe jimbo letu la Arusha
 
Huyu Mhe. Akae tu atulie mara nyingi magonjwa ya wazee huwakuta baada ya kustaafu na kujiingiza kwenye siasa.
 
mkuu volume hapo vipi?[emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mhe. Akae tu atulie mara nyingi magonjwa ya wazee huwakuta baada ya kustaafu na kujiingiza kwenye siasa.
mwanae ni mwekiti UVCCM MKOA NA YEYE ANATAKA UENYEKITI WA MKOA??? KUMBE MAAFISA WENGI WA POLISI NI MAKADA PIA!!!
 
RPC mwenzie marehemu James Kombe aliangukia pua Vunjo.
Polisi mkubwa aliyewahi kufanikiwa ubunge ni former CDI Adadi Rajabu.
Nimewahi kusikia pia hata Tatu Ntimizi alikuwa polisi lakini siyo wa size ya akina Adadi na RPCs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…