We unamtakia nini kama humjui? Muulize mkeo atakua anajua sana tu!

Naunga mkono hoja asili mia mia.. Hata me nimipenda
Jana niliangalia kipindi cha mkasi kinachooneshwa EATV ambapo jana mgeni wao alikua
Zembwela na host wake kama kawaida alikua Salama Jabir.
Kiukweli zembwela alifunika sana hasa katika uwezo wa kujibu maswali na kutoa hoja kwa umakini. Kiukweli huwezi fananisha ile interrview na nyingine za mastaa wa bongo ambao hata ukiangalia unaeza shindwa kumaliza kipindi kwa jinsi wanavyoboa.
Zembwela ana uwezo wa kutoa mifano ambayo mingi iko critical, na haboi kuangaliwa.
Japo kuna mapungufu flani lakini comparing with other Bongo super - stars, he is better.
Jana niliangalia kipindi cha mkasi kinachooneshwa EATV ambapo jana mgeni wao alikua Zembwela na host wake kama kawaida alikua Salama Jabir.
Kiukweli zembwela alifunika sana hasa katika uwezo wa kujibu maswali na kutoa hoja kwa umakini. Kiukweli huwezi fananisha ile interrview na nyingine za mastaa wa bongo ambao hata ukiangalia unaeza shindwa kumaliza kipindi kwa jinsi wanavyoboa.
Zembwela ana uwezo wa kutoa mifano ambayo mingi iko critical, na haboi kuangaliwa.
Japo kuna mapungufu flani lakini comparing with other Bongo super - stars, he is better.
Wife kasema hamjui,We unamtakia nini kama humjui? Muulize mkeo atakua anajua sana tu!
Ndo nani uyo?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums