baharia Ar
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 837
- 316
Leo katika kipindi chake cha super mix amediliki kusema Yeye hataki siasa. Hivi huyu Mtu anajitambua kweli? Mimi ni shabiki wake na kila siku nilazima nimsikilizage Ila leo ameniacha hoi. Hivi siasa ni nini? Bila siasa Yeye angevaa mtumba? Waamuzi wa dunia hii ni kinanan kama sio wana siasa?zembwe kaka usiuze utu wako
Anatakiwa asome huu ujumbe muruwa:
Leo katika kipindi chake cha super mix amediliki kusema yeye hataki siasa. Hivi huyu mtu anajitambua kweli? Mimi ni shabiki wake na kila siku nilazima nimsikilizage Ila leo ameniacha hoi.
Hivi siasa ni nini? Bila siasa yeye angevaa mtumba? Waamuzi wa dunia hii ni kinanani kama sio wana siasa?Zembwela kaka usiuze utu wako.