Zembwela: Mchungaji Msigwa leo ndio anaiona Chadema ni Saccos ya mtu mmoja baada ya kushindwa kutetea cheo chake Kanda ya Nyasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM

Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa

Naye Kitenge amesema Wanasiasa wawe wanahama kwa amani tu na Siyo kutafutiza vijisababu vya kutudanganya

Source: WASAFI FM
 
Wanasiasa si wa kuumiza nao kichwa. Akiona maslahi yake yameguswa au kuyakosa ndiyo utajua, siasa anafanya kwa mapenzi ya kuwakomboa wananchi ama kujikomboa yeye.

Hapa bado kabla ya 2025, yatakuja na mengine mengi na kuondoka wengi. Biashara ya kununua na kujiuza imefunguliwa rasmi.
 
Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM

Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa

Naye Kitenge amesema Wanasiasa wawe wanahama kwa amani tu na Siyo kutafutiza vijisababu vya kutudanganya

Source: WASAFI FM
Leo zembwela ataoneka akili kubwa mbele ya bavichaa
 
Lisu aliuliza swali kuwa uchafuzi huu wa iringa mbona Kuna hela zimemwagwa hakupewa majibu sasa msigwa katuletea majibu lisu anaakilii sana
Lissu alisema hizo hela zinatoka kwa Mama Abdul ndiyo maana Msigwa kaamue azifuate huko huko. Kwa sasa Msigwa na Sugu hawachekani kwani tajiri wao ni mmoja.
 
Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM

Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa

Naye Kitenge amesema Wanasiasa wawe wanahama kwa amani tu na Siyo kutafutiza vijisababu vya kutudanganya

Source: WASAFI FM
Zembwela ana utapiamlo wa kufikiri! Jinga sana hilo!
 
Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM

Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa

Naye Kitenge amesema Wanasiasa wawe wanahama kwa amani tu na Siyo kutafutiza vijisababu vya kutudanganya

Source: WASAFI FM
Zembwela ni nguli wa nini.nilidhani amesema P!hao wote hawana unguli wowote bora ungesema watangazaji chawa.
 
Back
Top Bottom