johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Leo zembwela ataoneka akili kubwa mbele ya bavichaaWatangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM
Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa
Naye Kitenge amesema Wanasiasa wawe wanahama kwa amani tu na Siyo kutafutiza vijisababu vya kutudanganya
Source: WASAFI FM
Lisu aliuliza swali kuwa uchafuzi huu wa iringa mbona Kuna hela zimemwagwa hakupewa majibu sasa msigwa katuletea majibu lisu anaakilii sanaMch Msigwa ni mjinga wa viwango vya SGR.
Msigwa ni Mkinga hawezi Kuongoza Ngome ya Mkwawa chini ya CCMYule mama aliyechukua ubunge wa Msigwa atafute kazi nyingine maana Msigwa asipopewa ukuu wa wilaya, tegemea atakua mbunge na waziri mdogo.
Lissu alisema hizo hela zinatoka kwa Mama Abdul ndiyo maana Msigwa kaamue azifuate huko huko. Kwa sasa Msigwa na Sugu hawachekani kwani tajiri wao ni mmoja.Lisu aliuliza swali kuwa uchafuzi huu wa iringa mbona Kuna hela zimemwagwa hakupewa majibu sasa msigwa katuletea majibu lisu anaakilii sana
Tajiri yao ni Mbowe 🐼Lissu alisema hizo hela zinatoka kwa Mama Abdul ndiyo maana Msigwa kaamue azifuate huko huko. Kwa sasa Msigwa na Sugu hawachekani kwani tajiri wao ni mmoja.
Leo hawajalamba asali, ngoja walambishwe uo e watakavyopia uturnLeo zembwela ataoneka akili kubwa mbele ya bavichaa
Zembwela ana utapiamlo wa kufikiri! Jinga sana hilo!Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM
Kupitia Wasafi FM Zembwela amesema mchungaji Msigwa Leo ndio anaona Maamuzi ya Chadema hutolewa na Mbowe Peke yake Wakati yuko Chadema Kwa Miaka 20 sasa
Naye Kitenge amesema Wanasiasa wawe wanahama kwa amani tu na Siyo kutafutiza vijisababu vya kutudanganya
Source: WASAFI FM
Kwan Albert Chalamila ni Dr?Msigwa ni Mkinga hawezi Kuongoza Ngome ya Mkwawa chini ya CCM
Mbunge 2025 ni Dr Albert Chalamila 😂😂
Siyo mbele ya Bavicha bali mbele ya watu wenye akili.Leo zembwela ataoneka akili kubwa mbele ya bavichaa
NdioKwan Albert Chalamila ni Dr?
mama Jesca mbunge wa iringa cross uende chadema upambane na mchungaji kisiasa itakulipaYule mama aliyechukua ubunge wa Msigwa atafute kazi nyingine maana Msigwa asipopewa ukuu wa wilaya, tegemea atakua mbunge na waziri mdogo.
Zembwela ni nguli wa nini.nilidhani amesema P!hao wote hawana unguli wowote bora ungesema watangazaji chawa.Watangazaji nguli nchini Zembwela, Kitenge na Hando Leo wameuponda sana Uhamisho wa Mchungaji Msigwa Kutoka Chadema kwenda CCM