Zembwela anakimudu vilivyo kipindi anachotangaza na utashangaa anavyochambua mada vizuri kwa kuhusisha na mazingira halisi ya kitanzania tofauti na wanaojiita wasomi wanapohusisha mada zao na mazingira ambayo ni ya kudhani