Zembwela nenda shule...... You will prosper

Hizi cheap labor ndio zinaua media hapa Bongo! wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wao hawataki kuwekeza kwenye elimu ili wawe competent haya sasa ndio matokeo yake, unakuta mtangazaji amegeuza radio kama kijiwe cha porojo hivi, kama hawawezi si wakae vijiweni waote jua kama solar panels hahahaha!
 
Huyu aliyeuliza Zembwela amesoma wapi na wengine kusema sijui kasoma wapi na wapi...uchunguzi wangu mdogo unaonyesha alishawahi kusoma Ilboru tena ile ya zamani..KWA KIFUPI ANA KIPAJI MAALUM...ACHENI LONGO LONGO KABISA..NA I BET HATA LEO MTAMSIKILIZA..ZEMWELA KAZA BUTI .. WASIKILIZAJI TUTACHANGIA..CHUJA YALIYOONGELEWA NA FIKIRIA MAENDELEO..

KUMBUKA NO BODY KICKS A DEAD DOG BWANA....
 

I really concur with your opinion sir!!!, I think its high time to appreciate potentials in others, as if some one can conduct a radio station the way Zembwela does without even attending formal radio presenting classes, then we have to agree that zembwela is really gifted. Other deficiencies can be rectified and iam sure that we can not attribute then to the lack of professional education, this is because there are others with outstanding education but they are doing the same things even more unprofesional than what Zembwela does!!.

Ndugu wana JF tumeona mara ngapi magazeti na TV zinatumika kuchafua watu!? wanaofanya hivyo hawajasoma?. Huko igunga, mgombea wa chadema anaoneshwa sekunde 5 kwenye TV ya Taifa lakini mlevi wa UPDP anaoneshwa Dakika 5, Hii yote ni katika kuwasilisha propaganda za CCM, Je hawa waendesha vipindi wa TBC hawajasoma???

Hata katika taaluma nyingine mwendo ni uleule, Mimi naomba tuache kumuattack Zembwela pasipokuangalia upande wake ambao ni mzuri, tunakomalia weakness aliyonayozembwela tunaiBOLD na kutaka kummaliza kabisa. This is not fare jamani, lets use JF kama Jukwaa la kujenga na si kubomoa.

Naomba kuwasilisha.
 
Zembwela kawa mtangazaji? Khaa! Radio gani?

Hatari sana hii kama ni kweli.

ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni, we jibanze tu huko Tegeta wakati city centre Zembwela ana rock the city
 
Mie nafikiri kwenda shule inajumuisha kuchukua muda wake mwingi wa kazini na nyumbani, pia mkwanja ni kitu kingine. Ushauri wangu ni kuwa, kama kupata admission itakuwa ngumu na anaona kunaweza kuwa na hatari ya kupoteza kibarua chake, afanye utafiti yakinifu na upembuzi wake wa mabo uwahusishe wataalam wa eneo hilo, hii itamsaidia kutoa hoja, kulinga na kuijenga katika mantiki ya kisomi na kuelimisha jamii kama anavyotarajiwa kufanya. Kwa sasa nadhani anapotosha jamii inayomsikililza katika baadhi ya mambo pasipo kujua. Kitu kingine kidogo kwa wana JF ambao kwa njia moja au nyingine wanaweza kuwa na ukaribu naye mfikishieni maoni haya, kwani sina uhakika kama anachungulia sehemu hii mara kwa mara.
 

Huyu ata akienda shule nothing new will happen...nadhani abadilishe fani,and indeed I suggest to him,to go back to his previous work,I think he is very good in comedy....
 

safi sana... mchango huu utamjenga... endapo atapita hapa.. Lakini vp kama aliishia std 7...?????
 

acha uvivu wa kufikiri, unadhan kusoma Ilboru kunamtoa ktk upuuz anaoongeaga?
 
Well said! Wako wasomi wangapi wanashindwa kufanya kazi kutokana na usomi wao. Zembwela ana kipaji kuna wanaompenda kwa kazi yake. Zembwela keep it up mimi napenda kipindi chako kinafurahisha kinaburudisha wewe chapa mzigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…