Zembwela vs MC Pilipili, nani mkali?

Zembwela vs MC Pilipili, nani mkali?

Kwani wote wanadeal na nini?
Na naomba usiniambie ni standup comedy tafadhali[emoji36] [emoji36] [emoji36]
 
Nani mkali kati yao katika fani na Utajiri?
 
mcpilipili kamzidi zembwela prado, ufupi kujichekesha bila mpangilio
 
private jet ya pwilipwili anakodisha kwa watu binafsi?
 
Back
Top Bottom