Kifai
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 816
- 173
Ebana huyu mchizi anaweza sana hiki kipindi cha Uswazi, Zembwela we mbaya. Big up Zembwela.
----------------
Mtangazaji wa kipindi cha redio HOTMIX na television USWAZI vinavyorusha na EATV Zembwela amekuwa mhusika mzuri wa kipindi cha USWAZI kwa kuvaa uhalisia wa uhusika kuanzia mazingira yote hasa ya uswazi anapoaandaa kipindi chake..
Huyu jamaa anastahili heshima za kutosha kwa kuwa mtangazaji bora wa hiki kipindi...