Zembwela yuko vizuri katika kipindi cha Uswazi

mtanisamehe tuuu maana sioni lolote jipya from him kiasi cha kumsifia. Tena kwenye redio ndo ananikera kabisaaaaa. Ni much know na mengine mengi ya kukera
 
mtanisamehe tuuu maana sioni lolote jipya from him kiasi cha kumsifia. Tena kwenye redio ndo ananikera kabisaaaaa. Ni much know na mengine mengi ya kukera

wewe unampenda mtangazaji gani?
 
anaharibu bora mussa huseein,
zembwela anapenda sifa na anajiona anajua saaana kumbe hana lolote,
binafsi ananikeraaa
 
Uswazi kipo poa kwa wale tusiokaa humo. Hah hah
 
Habari wakuu...

Mtangazaji wa kipindi cha redio HOTMIX na television USWAZI vinavyorusha na EATV zembwela amekuwa mhusika mzuri wa kipindi cha USWAZI kwa kuvaa uhalisia wa uhusika kuanzia mazingira yote hasa ya uswazi anapoaandaa kipindi chake..

Huyu jamaa anastahili heshima za kutosha kwa kuwa mtangazaji bora wa hiki kipindi...
 
Mmemsifu mpaka nimeogopa,,,mpaka nikavuta picha km mnamzungumzia zembwela ninayemjua??? Duuu
Mbona kawaida sana jamani au mi ndo sijui utangazaji mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…