Zembwele na Maiko leo wamenichekesha "Aruba sitini na Jokery za Bongo Flava"

Inanambo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,039
Reaction score
2,840
ILIKUWA LEO ASUBUHI MUDA WA SAA NNE HIVI KWENYE KIPINDI CHAO CHA SUPER MIX. MARA WAKAWEKA BONGO FLAVA YA MSANII ALIYEIMBA MUHOGO WAKO MTAMU NA ANDAZI WEEE KWA HAMIRA. WIMBO ULIPOISHA WAKAANZA KUJADILI WAKIULINGANISHA NA ULE WA, NJENJE WELEDI WAKE KWENYE KUTUNGA KUIMBA NA KUCHEZA. MARA Zembwela ambaye sometime huwa namkubali akamwambi Maiki siku hizi waimbaji wa Bongo flava ni kama karata. kuna JOKERY panda) na ARUBA SITINI. Kwa hao wanaoghani mashairi ya muhogo mtamu na andazi ni Jokery ndani ya Karata. Ila waimbaji kama kina Lady JAYDEE, NJENJE na TID. NILIMWELEWA KWAMBA KUNA NYIMBO HAZINA FAIDA NA NYINGINE ZINA FAIDA HATA ZIKIPIGWA BAADA YA MIAKA 10 BADO NI TAMU MASIKIONI. KWA HIYO TAFADHALI WASANII WA BONGO FLAVA TUNGENI NYIMBO ZENYE UJUMBE SIYO MUHOGO MTAMU NA ANDAZI WEEE.
 
hahahaha mi huu wimbo huwa unaniacha na maswali badala ya kuniburudisha...
 
Mbona unaandika ki-NAPENAPE?
 
Kuna mtunzi mmoja wa vitabu anasema kama unasoma kitabu chake mwanzo mpaka mwisho na hujaambulia kitu bac hujue ww sio hadhira wake,so in music is like that,music ni tanzu za fasihi simulizi na fasihi kazi zake ni kufundisha,kuelimisha,kukosoa,kupotosh na kuburudisha,jamaa lengo lake lilikuwa kuburudisha tu kama unataka kuelimika kamsikilize marijani rajabu,muhidin ngurumo,shaban dede, na wengine wengi,ukiona huuelewi huo wimbo hahujakulenga ww anao hadhira wake na utasikia upo top tena ktk radio hiyo hiyo ya zembwela fuatilia utaona
 
naona siku hizi wa2 wanaamka usingizini na kuingia studio....
 
Mwanzisha Thread hii na hayo mashairi ya Bongo f$c& ni sawa sawa!
 
jua kazi ya fasihi ni kuelimisha na kuburudisha as the main kazi.....ndani ya burudani ni km hiyo cngo!sio kila nyimbo z meant for elimu jaman,mbona tunakuwa wagumu kuelewa mambo!?
 
Back
Top Bottom