Elections 2010 Zenji Seif nyota njema


Kwa HESABU rahisi ni hivi....

Kura zote mpaka sasa ni: 87,375

CCM wamepata kura: 35,502, sawa na 40.6%

CUF wamepata kura: 51,873 sawa na 59.3% ya KURA ZOTE!

JIMBO LA BUBUBU: CCM-4458,CUF-4119..........JIMBO LA MFENESINI: CCM-3755,CUF-2246


Hapo ni UNGUJA. Unaweza kuona vividly CCM kakabwa koo vile vile na huko.

So, if the above is TRUE, CUF wapo wanamatch towards IKULU!

Finaaaaaaaaaaaaaaaaally wanachukua what they deserved since 1995!
 
Bado tunaendelea kusubili mkuu lakini Seif anang'aa Pemba kuliko Unguja

hilo ndo tatizo la Zenji....sasa matokeo ya Unguja yakishaanza kuja utaona Shein anaanza kumkaribia au hata kumpita Maalim....mwisho wa siku, kama hakutakuwa na uchakachuaji, basi itategemea nani alikuwa na turnout kubwa zaidi
 
Haya matokeo Mkapa yamemfikia? Maana kwa kujiamini sana alisema anaunga mkono serikali ya umoja wa kitaifa kule Zanzibar LAKINI inayoongozwa na CCM
 

kazi kwelikweli, napenda mabadilko. Political system ya tz ibadilke kabisa thats what i want
 
Kwenye siasa hawaoneani huruma, hata akishinda maalim, Bahati mbaya ataketangazwa ni Shein. Walioko huko (mmoja wa wawakilishi mteule aliyetangazwa) amesema Shein atashinda ila kwa margin ndogo sana !
 
Jamani mzee wetu wa Mambo ya Nje vipi sijapata news zake
 
Muda sio mrefu kutoka sasa ZEC watatupa matoke.... hayo yaliyotangua SIO RASMI

ndio,,,SIO RASMI
 

kazi kwelikweli, napenda mabadilko. Political system ya tz ibadilke kabisa thats what i want
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…