Zero IQ ndani ya bonge la Gari New model 2018.

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Waswahili wanasema tafuta pesa uzitumie na mimi leo baada ya job la wiki nzima nimeona bora nivute chombo moja matata nijilie vyangu,

Zero IQ mimi siyo mnywaji wa pombe,siyo mlaji wa misosi mikali kama pizza,bugger na mingine mingi ya gharama,

Na wala siyo mpenzi wa kwenda Club na disco sasa kama ulikuwa unategemea kunikuta hayo maeneo futaaa.


Mimi zangu ni mbunye tu Asubuhi nikiamka nipe niisasamue,mchana we nipe na jioni nikirudi nipe niisasamue aswaa hiyo ndio Starehe yangu mimi,

Leo ni weekend na sina mahala pa kwenda nimeshamvutia uzi demu wangu wa pale maeneo na tayari kashatimba gheto soon naianza Starehe yangu Pendwaaaaaa.





 

Ukimwi nao unakuvutia waya unasubiria upokee simu muanze mazungumzo.
 
We utakuwa imeamka muda huu, hiyo ndoto uliyoota umejikuta umelowanisha godoro pole
 
Nilipanga kujiuwa kesho nimegundua hii dunia tamu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…