Ukiutumia vzr uchumi wako stress zitakuwa historiaSitaki tena stress mkuu
Dah kusema kweli wanalika sana hapa mjini hasa pindi Boom likiiisha aseeeeeeeeeeeeeeee yaaani mibaba mizee na harrier zao wanafaidi nyama mbichi mbichiIFM wengi wana ngwesi siwataki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza kabla ya yote, swala la mbunye weka pembeni. Halafu tupe mrejesho wa mkeka wa millioni 150, ambao jana ulitusumbua kutaka ushauri wa chakula wanachokula matajiri.!!![emoji18]
vp na ww uliingiza mshedede wakooo ?? ? lete mrejeshooooooo mamaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]