Zero IQ ni mtu muelewa sana ila anapenda nini kingine zaidi ya ngono?


Mkuu naomba nikujibu maswali yako kama ifuatavyo,

Mimi mr Zero IQ sina kilevi kingine na situmii kilevi cha aina yeyote starehe yangu kubwa kuliko zote ni Papuchi tu,naweza kukesha nayo kama dozi ya paracetamol Asubuhi mchana na jioni,

Kazi yangu inayoniingizia kipato ni kazi ya kuuza kiepe tu na ndio kazi inayonipa watoto wakalii,

Hakika kama ningeumbwa demu na hizi homoni zangu basi ningekuwa single mother maana kila hogo lingenila,

Alafu kama kuliwa basi ingekuwa daily,

ila hakuna kitu najivunia kama kuwa mwanaume nafikiri katika vitu mungu kanitendea haki basi kuniumba kidume sina haja ya pesa ili zinipe furaha ukidume wangu ni furaha tosha maishani mwangu,

Zero Iq mimi sina ugomvi na mtu na kitu sikipendi ni kugombana tu ndio maana huwezi kuta napaniki kwenye uzi ata kama umenijibu vibaya kwangu nina msemo mmoja unasema "Muheshimu mjinga uepukane na balaa"

Cc Zero IQ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au angegawa mpka upande wa pili? Just in case
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu nitake radhi tafadhari Zeor IQ na upopoma wangu huu wa kupenda papuchi siajwahi na nilishawahi kusema hapa siwezi kula tigo,

Sasa ningekuwa mmiliki wa papuchi kweli ningekubali kutoa ndogo? Marinda yangu yangebako salama kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…