Sharobaro la jf
JF-Expert Member
- Apr 23, 2020
- 237
- 325
Ni hatar yasije yaka mkuta Kama Yule kijana muuza chips wa makumbushoUza chipsi mkuu utawala tu
Tutakupa miaka themaniniMzee mwinyi mlimpa miaka 10
Mzee makapa(RIP) naye miaka 10
Mzee Kikwete naye mlimpa miaka 10
Mimi mnataka kininyima mingine mitano!!
ETI NASEMA UONGO NDUGU ZANGU
Tafuta elaHivi kwann mademu wakali siku hizi ni ngumu Sana kuwapata kwa baadhi ya sisi vijana tusio na hela, nimekuwa nikisoma nyuzi za member mmoja wa humu anajiita Zero IQ, Huyu jamaa anasemaga anawala mademu wakali kila siku jap ni muuza chipsi tu Ila anajipigia watoto wazuri daily, kaka zero IQ mimi mdogo ako natamani Sana Kama una Dawa hau unipe na Mimi mbinu unazotumia kuwala maduu wa High classic
Nawakilisha#
Nipo hapa mkuu nashindwa ata niandike nini mkuu naishia kucheka Coment za wadau[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Tutakupa miaka themanini