OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Huyu jamaa ni moja ya watu wenye vipaji na amekuja tofauti kabisa na comedian tuliowazoea. Comedian wenye hutumia maneno kuchekesha, lakini yeye anafanya komedi ya soka
Je, ni nani huyu mtu? Namuona huvaa jezi ya Taifa Stairs kwenye clips zake, bila shaka ni mtanzania, sina hakika. Lakini anaishi wapi? Mbona clips zake hutumia zaidi Kingereza badala ya Kiswahili?
Naomba kujua