OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kijana huyu anapatikana Mbezi, Msumi.View attachment 3033029
Huyu jamaa ni moja ya watu wenye vipaji na amekuja tofauti kabisa na comedian tuliowazoea. Comedian wenye hutumia maneno kuchekesha, lakini yeye anafanya komedi ya soka
Je, ni nani huyu mtu? Namuona huvaa jezi ya Taifa Stairs kwenye clips zake, bila shaka ni mtanzania, sina hakika. Lakini anaishi wapi? Mbona clips zake hutumia zaidi Kingereza badala ya Kiswahili?
Naomba kujua
Du, mbona haichekeshi? Bongo bwana!View attachment 3033029
Huyu jamaa ni moja ya watu wenye vipaji na amekuja tofauti kabisa na comedian tuliowazoea. Comedian wenye hutumia maneno kuchekesha, lakini yeye anafanya komedi ya soka
Je, ni nani huyu mtu? Namuona huvaa jezi ya Taifa Stairs kwenye clips zake, bila shaka ni mtanzania, sina hakika. Lakini anaishi wapi? Mbona clips zake hutumia zaidi Kingereza badala ya Kiswahili?
Naomba kujua
Commedy sio kichekesha tu. Ni kielimisha na kuburudisha pia.Du, mbona haichekeshi? Bongo bwana!
Nakubaliana na wewe. Ila haya uliyosema yanatakiwa kufukiwa kwa njia ya kuchekesha. Yaani comedy ni kufikisha ujumbe wowote kwa njia ya kuchekesha. Key word ni kuchekesha. Vinginevyo kama unataka kuelimisha kwa nini usitumie njia ya kawaida za kuelimisha tu? Au kama unataka kuburudisha, kwa nini usitumie njia za kawaida za kutoa burudani tu?Commedy sio kichekesha tu. Ni kielimisha na kuburudisha pia.
Commedy limebeba mambo mengi. Sio uchekeshaji tu.Nakubaliana na wewe. Ila haya uliyosema yanatakiwa kufukiwa kwa njia ya kuchekesha. Yaani comedy ni kufikisha ujumbe wowote kwa njia ya kuchekesha. Key word ni kuchekesha. Vinginevyo kama unataka kuelimisha kwa nini usitumie njia ya kawaida za kuelimisha tu? Au kama unataka kuburudisha, kwa nini usitumie njia za kawaida za kutoa burudani tu?
Je, umeelewa nilichosema? rudi usome tena.Commedy limebeba mambo mengi. Sio uchekeshaji tu.