Haloo?
Kabla sijakuwa mwanachama wa JF nilikua na bado naheshimu mchango wao na sasa wetu katika kulisongesha gurudumu hili, najua kwa pamoja mimi na ninyi tunaweza kutengeneza historia na kujijengea heshima katika jamii iliyopo, inayochipukia na itakayokuja baadae. Nasema ahsante kwa niaba yetu sote.
Lakini kuna watu inawezekana ni utoto, pia ikawa ignorance, au saa zingine ikawa kutokuweza kutumia akili zao vizuri na kujikuta wanatumia jamvi kujadili utu.......
Guys what wrong with you?
Kichuguu, Nyani, Kibongoto.