zhang jin ukipenda max zhang bonge la actor mwepesi like me nikikamata sparner

zhang jin ukipenda max zhang bonge la actor mwepesi like me nikikamata sparner

Richmoto Kushmoto

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2021
Posts
549
Reaction score
560
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu jing wanaujua moto wa huyu mwamba hata batista naye 😁😁 very amazing huyu mchizi yaani anakupiga kama hataki kukuona tena duniani

moja ya movie ALIZOCHEZA

The brink
ip man spin master
invisible dragon
ip man 3
SPL 2
Grandmaster 2021 hii bado haijatoka nahisi
escape plan the extractor

Na nyingine nyingi

wikienda njema wadau
 
Attachments

  • colin-mz2-19.jpg
    colin-mz2-19.jpg
    27.2 KB · Views: 3
2
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu jing wanaujua moto wa huyu mwamba hata batista naye 😁😁 very amazing huyu mchizi yaani anakupiga kama hataki kukuona tena duniani

moja ya movie ALIZOCHEZA

The brink
ip man spin master
invisible dragon
ip man 3
SPL 2
Grandmaster 2021 hii bado haijatoka nahisi
escape plan the extractor

Na nyingine nyingi

wikienda njema wadau
Yuko vizuri sana.

Nakumbuka mzee wu jing na tony jaa walivyopata nae tabu kwenye lile jengo mwisho wa movie SPL 11 waliteseka sana.

Jama mbali na movie ni mtu anaziweza kweli ngumi.

Lakini na wu jing yuko njema sana kuna movie yake moja ya "THE CLIMBER" Ile wamecheza kwenye mabarafu haijatoka bado ?
 
Back
Top Bottom