Ziada ya nafasi nyingi za kazi

Baba Mtu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2008
Posts
870
Reaction score
170
Fungua hapa Tanzania, Management Jobs; APPLICATION FOR PROCUREMENT &SUPPLY JOB, ili uone nafasi za kazi


****************************************************************
EWE MTANZANIA USIACHE MBACHAO KWA MSALA UPITAO

****************************************************************

Uchague CCM kwani ni mbachao yako. Usichague Chadema, CUF, TLP na NCCR-Mageuzi, kwani hao ni misala ipitayo. CCM ni :first:


:welcome:
 
 
Kwa hiyo hizo kazi hatupati hadi tuichague CCM? hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Hizi kazi ni kutoka CCM au?
 
Thanks baba mtu, but I am not seeing any job advert there instead naona CV's za watu kama MR BAJJET SYLVESTER NARESHO na Daudi Mziray, what does it mean? Nafikiri hizo inform,ation needs to be confidential why should I see them. Ina maana nami nikiweka zangu zitaonekana na wengine pia???

Na hii statement pale juu imenifanya nizidi kudoubt "All listings are the responsiblity of the posters; keep in mind, anyone can post anything!". It seems to be very loose website. Anyway can you clarify how do we see job alets there??
 

Angalia upande wa kulia wa hiyo wavuti, viko vidaraja (links) vya kazi tofauti tofauti zinazoweza kupatikana bongo au vidaraja vitakapokupeleka katika wavuti zingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…