lakini the boss hujanjibu kisawaswa, katiba inamruhusu, isije ikawa ni kutumia feza za walipakodi kwa maslahi binafsi na kifamilia. Mbona wake wa marais wengine hatuoni wakifanya hivyo?
Mke wa Rais, mama Salma amekuwa akifanya ziara katika mikoa mbalimbali hapa nchini na kupokelewa na viongozi wakiwemo wakuu wa mikoa. Je, ana cheo gani kitaifa hadi kupokelewa rasmi hivyo. Je, kuwa fisrt lady ni cheo kinachotambulika na katiba yetu. Au ni mradi wa kutangaza WAMA na wakati huo huo kumwandalia mzee njia ya oktoba mwaka huu. Lakini je ni halali yeye kufanya ziara kama kiongozi wa serikali.
Kuna title ya Mama Mkuu wa Taifa????Yeye ni mama mkuu wa taifa.
Hiko ni cheo tosha.
She is the second most powerfull personin tz.
Why not????????
Who said that? what does the constitution say?Yeye ni mama mkuu wa taifa.
Hiko ni cheo tosha.
She is the second most powerfull personin tz.
Why not????????
Yeye ni mama mkuu wa taifa.
Hiko ni cheo tosha.
She is the second most powerfull personin tz.
Why not????????
Yaani first Lady anapewa heshima zote, lazima apewe ulinzi mkali na mapokezi yote kama first lady.Lakini The Boss hujanjibu kisawaswa, katiba inamruhusu, isije ikawa ni kutumia feza za walipakodi kwa maslahi binafsi na kifamilia. Mbona wake wa marais wengine hatuoni wakifanya hivyo?
Yaani first Lady anapewa heshima zote, lazima apewe ulinzi mkali na mapokezi yote kama first lady.
This is hardly about ulinzi.
Lazima mkuu wa mkoa na wapambe wengine wote waache kazi zao? Mimi naona si first lady tu, hata rais mwenyewe akifika sehemu si lazima viongozi wote wamzonge wakati kazi zinalala.
So medieval!
JK angefanya kama mwenzake Museveni. Akampa uwaziri huyu mke wake. Matatizo yaliyoko sehemu kama Tarime yanahitaji kuundiwa wizara sio mkoa wa kipolisi!! Mama Salma awe waziri wa Tarime kama mwenzake Janet alivyo waziri wa Karamoja.