ZIARA: Waziri wa TEHAMA wa Rwanda, Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL

Ttcl jirekebisheni mbona internet yenu iko very slow mna kwama wapi aisee
 
Naona kuna kamtindo kanataka kuanza ka kuendeleza so called vya kwetu / serikali kwa kuua competition na sio kuboresha vya kwetu ili vishindane na competition

Mkinogesha nyumbani tutarudi tu, hakuna haja ya kuwauwa majirani
 
Ana shepu kama ya yule MP aliyetolewa bungeni kwasababu ya mavazi.
 
Mmetuwekea mapicha bila kuandika amesema nini!! Huenda mnaficha labda tukijua alichosema tutawaona mmepwaya sana
 
Hiyo painting yenye Mount Kilimanjaro imechorwa na mtoto ama mtu Mzima?
Wengi tumeshangaa, wameshindwa kuendesha kampuni, wakashindwa hata kupata mchoraji mzuri!! Picha ipo kama mwanasesere! Kaulize bei waliyonunulia hiyo picha utachoka
 
Bi Paula ni mtaalam wa teknolojia za aina mbalimbali katika sekta ya mawasiliano khasa systems design.

Waziri Ndugulile usisiste kumtumia kwa kumuomba msaada wa kitaalam kuongeza uwezo wa TTCL kuwa imara nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…