ZIARA: Waziri wa TEHAMA wa Rwanda, Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL

TTCL customer care wakizidiwa wanaanza kulaumiana wao kwa wao mbele ya mteja kama waigizaji fulani, hawana kawaida kuitana chemba kuyajenga, sijui mwalimu wao ni nani, nashauri wawe na mafunzo kazini
Ajira siku hizi mkuu haijali ueledi wa taasisi husika. Zamani kila aliyeajiliwa alipaswa kwenda chuo cha taasisi husika kupikwa kwanza.
 
Kuna Rais mmoja amesafiri nje ya nchi kufuata internet iliyobora.
 
B
ZIARA: Waziri wa TEHAMA na Ubunifu wa Rwanda Mhe. Paula Ingabire atembelea ofisi za TTCL ikiwa ni ziara ya kuimarisha Mahusiano katika sekta ya Mawasiliano na kukuza biashara.

#RudiNyumbaniKumenoga

Bora wamekuja katika utawala wa Samia, ingelikuwa enzi za utawala wa Magufuri,ulisikia maneno yanayo semwa humu kwenye uzi huu,Mala nchi inaongozwa Kagame, Mambo mengi, Jamani Magufuri alikuwa na wapinzani,bora Mungu alimwondoa, maana kidogo asingiziwe kuwa ndiye alileta corona 😃😃😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…