eddychingy
Senior Member
- Apr 20, 2015
- 130
- 70
kuna influencer mmoja anazuru africa kufanya mastunt yake ili ku-create youtube content, ana followers zaidi ya 48m na ana miaka 21 tu!Umeandika kitu gani?
Tuleni nyama, nyama zote duniani zinaliwaAliyeelewa atuelezee, inawezekana mtoa mada ameshiba pua ya nguruwe.
😁 Duh ila we mwamba na hiyo pua yako inanichekesha sana, imetawanyika karibu uso mzima😅😅😅Tuleni nyama, nyama zote duniani zinaliwa
Nalog off Z
Tuleni nyama, nyama zote duniani zinaliwa
Nalog off Z
Serikali inanitumia Kwa hii pia ili kunusa harufu yoyote ya vurugu😂😁 Duh ila we mwamba na hiyo pua yako inanichekesha sana, imetawanyika karibu uso mzima😅😅😅
Pua kama ugomvi😄Serikali inanitumia Kwa hii pia ili kunusa harufu yoyote ya vurugu😂
Nalog off Z