Ziara ya Kamala Harris nchini Tanzania

Ziara ya Kamala Harris nchini Tanzania

kmbwembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
10,892
Reaction score
7,780
Huyu mama ingekua kuna mwenye msimamo anaongoza nchi yetu tungeikataa hii ziara yake. Anakuja kutuchafua tu na mambo yao ya kutuamrisha bila kutuheshimu.

Wao hua wanakaa tu wanapanga tunaenda nchi hizi na hizi halafu kwa kua wao ni amerika lazima uwape mwaliko kwani ndio utaratibu.

Hapa juzi waziri wa nje wa kwao alipanga kwenda china halafu china haikuwapa mwaliko wakaishia kusingizia puto la china eti limeingia anga yao. Waziri wao hakwenda china.

Huko ghana huyo mama kazungumzia mashoga eti wakiguswa nchi hiyo itakiona. Wanatuletea ufuska na ushoga tena wamejipanga kugeuza watoto wetu mashoga na mabasha kisha tunawachekea na kuwaogopa.
Wala hawatoagi msaafa wowote wa msingi.

Huko ghana katoa usd 100 million maelezo yake ukichunguza kiundani ni hongo tu kwa vigogo. Utasikia eti kuimarisha demokrasia au kusaidia utetezi wa haki za binadamu. Halafu utaambiwa msaada kiasi kikubwa unapitia ngo's halafu zinaishia kuendeleza ushoga.

Jamani tusione aibu kusema. Marekani kwa hili la kutusambazia ushoga ni mashetani. Tumwambia huyo kamalla harris bila kumumunya aende huko na ushoga wao.

Sisi nchi yetu ina shida za kiukweli za maendeleo sio mtu anatuletea kazi ya kulinda mashoga. Tusipumbazike kwa rushwa za usd 100 millioni za kuliwa na vigogo na kuendeleza ushoga na ubasha.
 
Kamilla Harris ndo nani!?,. Muwe mna check spelling sio kuharibu majina ya watu.
*Kamilla = Kamala
 
Kamilla Harris ndo nani!?,. Muwe mna check spelling sio kuharibu majina ya watu.
*Kamilla = Kamala
Wee utakua na shida. Yaani ulichoona kwenye huo uzzi ni spelling💃
 
Hao wamarekani hawawezi kumlazimisha mwanaume yeyote amvulie mwanaume mwenzake boksa .Cha muhimu kila mtanzania azingatie mila na desturi zetu. Hao machoko iwapo watakosa watu wa kuwataka wataona biashara yao ni ya kipuuzi wataacha.Uhusiano wa kidiplomasia kati ya Tz na Marekani sidhani kama umejikita kwenye mambo ya uchoko pekee kuna mambo lukuki ambayo nchi inaweza kufaidi hasa mambo ya biashara kati ya nchi hizo mbili.
 
Back
Top Bottom