nyamadoke75
Member
- Apr 1, 2020
- 93
- 288
Ziara ya Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Kheri James katika Mkoa wa Arusha ,imekuwa na manufaa makubwa kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm Mkoa waliopo kwenye kata baada ya kigogo mmoja anayewania nafasi ya ubunge jimbo la Arusha mjini kudaiwa kutembeza noti kama hana akili nzuri waweze kumpitisha.
Taarifa za uhakika toka ndani ya ccm bila kupepesa macho nasema wazi kwamba wajumbe waliochukua fedha katika Kata ya Engutoto majira ya usiku ,waliratibiwa na mwenyekiti wa ccm wilaya Bw Joseph Masawe ambaye in rafiki mkubwa wa kigogo Mrisho Gambo.
Walikutana na mwenyekiti wa wilaya wa ccm, Joseph Masawe ambaye aliwagawia mshiko wa sh,50,000 kila mmoja na kuwaambia kuwa hiyo ni nauri kutoka kwa kigogo huyo akiwaomba wamuunge mkono kwenye safari yake.
Jambo hilo limekuwa likilalamikiwa sana na watia nia wengine wakiitaka takukuru Taifa ije kuchukua hatua kwa sababu takukuru mkoani Arusha haina meno ya kumtikisa kigogo huyo kwa sababu katika mfumo wa utendaji kazi wa hapa nchini RC ni boss wao .
Gambo ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu anatuhumiwa sana kwa kucheza rafu na kujijenga kisiasa katika ziara hiyo kwa kumtumia Joseph Masawe kama mratibu wa wajumbe hao ambao ni wapiga kura watakaochagua wagombea ubunge kwa kuwajaza noti mapemaa ili kujitengenezea mazingira mazuri ya ushindi
Gambo amekuwa tishio kubwa kwa watia nia wa ubunge jimboni.hapa kutokana na fitina aliyonayo na utaalamu wa kucheza faru.
Kazi. Kwetu wanaccm tukicheza vibaya jimbo linachukuliwa na Lema mapemaaaa SAA NNE kwa kukosa chaguo la wananchi.