Ziara ya kihistoria ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini urusi ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡บ

Raisi wa kwanza duniani kutia aibu ugenini ni samia , anaulizwa swali juu Tanzania kufanya biashara na russia ambayo ipo kwenye vikwazo anakuja kujibu tofauti...
Leo mitandao mbalimbali nchini kenya wanatucheka watanzania wote kwa ujinga wa mtu mmoja

Huyu mama hawezi kusafiri tena kwa hii aibu aliyofanya kule Russia
 
Tunasubili kuona mikataba ya makubaliano ya kunufaisha nchi waliyosaini isje ikawa ilikuwa ziara isiyokuwa na manufaa
 
Mkuu embu nieleze ziara hiyo ya Russia kuna makubaliano gani wamesign ambayo yataenda kukuza uchumi wa mwanachi mmoja mmoja.
Kingine kwa Russia anafaidika na nini kutoka Tanzania
Ni hayo tu.
Tunajengewa Nuclear Plant/Reactor kwa ajili ya Umeme
 
Mkuu embu nieleze ziara hiyo ya Russia kuna makubaliano gani wamesign ambayo yataenda kukuza uchumi wa mwanachi mmoja mmoja.
Kingine kwa Russia anafaidika na nini kutoka Tanzania
Ni hayo tu.
Subiri official government statement
 
Laana ya damu za watu
 
Wanavyoongea Sasa Utafikiria Yanatendeka
 
Wala Samia hakukosea, ila humu JF kila mmoja ana jibu lake Siyo kazi ya Rais Samia kuiijibia Russia kuhusu sanctions maana yenyewe ndiyo ina sanctions. CHADEMA fanyeni kazi za kuingiza hela achaneni na ushabiki mbuzi wa kukosoa kila ambacho Samia anafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ