Makala haya yanahusu ziara ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango alioifanya Mkoa wa Kagera. Makamu wa Rais alifungua Jengo la Kitega Uchumi la Shirika la Nyumba NHC, alitembelea Shamba la Miti Rubare, maporomoko ya maji ya Kyamunene alishiriki Ibada ya sherehe ya Jubilee ya Miaka Hamsini ya Upadre ya Mashamu Askofu Method Kilaini.
Picha : Shamba la Miti Rubare mkoa wa Kagera, Tanzania
Picha : Maporomoko ya maji ya Kyamunene mkoani Kagera, Tanzania
Source : Ofisi ya Makamu wa Rais
2022/03/18