scatter
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 1,667
- 926
Ziara ya mkuu wa nchi anayondelea nayo nchini marekani zaidi ya wiki sasa ni nzuri sana ila ni lazima tuseme ukweli haitatuletea mapinduzi ya kiuchumi na nchi yetu kuwa na uchumi wa hali ya juu kama baadhi ya nchi za Afrika.
Ziara ya zaidi ya wiki moja ni kitu kikubwa sana kwa mtu ambaye anaongoza tasisi kubwa ya uraisi hivyo basi kama ziara hii haitozaa matunda ni vyema raisi SAMIA asi itumie tasisi kufanya ziara nyingine kubwa kama hizi maana uchumi wa nchi haujengwi kwa kuzunguka.
Hebu tujiulize nchi za dubai tunisia morocco na zote zilizo na majangwa makubwa mbona zipo mbali kiuchumi je maraisi wake wanashinda marekani?