Ziara ya Mbunge Jimbo la Igunga

Ziara ya Mbunge Jimbo la Igunga

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
2,833
Reaction score
1,301
📍 Igunga, Tabora

ZIARA YA MBUNGE JIMBONI

Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa atafanya Ziara ya Kikazi ya Siku Tatu Jimboni Igunga kuanzia tarehe 19 Mei, 2023 kwa ajili ya;

1. Kukagua Maendeleo ya Utekekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Jimbo la Igunga (Rural Electrification).

2. Kukagua Maandalizi ya Mauzo ya Zao la Pamba Jimbo la Igunga.

3. Kukagua Maendeleo ya Utoaji wa Huduma za Afya kwa Wananchi kwenye Zahanati na Vituo vya Afya.

4. Kukabidhi Saruji (Cement) kwa ajili ya ujenzi wa Ofisi za CCM za Kata za Igunga, Isakamaliwa, Mwamashiga, Mwamakona, Mwamashimba, Itumba na Nguvumoja.

Mheshimiwa Ngassa (MB) ataambatana na Wataalam wa Taasisi za Serikali kwa ajili ya utatuzi wa kero za Wananchi.

"KAZI NA MAENDELEO"

Imetolewa na:
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Igunga
18 Mei, 2023

WhatsApp Image 2023-05-18 at 11.49.58.jpeg
 
Back
Top Bottom