Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Mkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500.
Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika?
Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
Uzi umefungwa mapema mno.Mkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
Kivipi?.Uzi umefungwa mapema mno.
Sema ukimgusa tu huyu namba 1, utapondwa mawe na kuitwa Sukuma Gang.Hizo ni pesa za walipa kodi.
Imetosha sasa arudiMkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
Ndiyo maana hataki kwenda kuongoza Zanzibar kwao anapiga pesa za bure huku bara kwa wajingaNiliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500.
Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika?
Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?
Hiki ndiyo kichaka chao hapa pesa inapigwa balaaMkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
Udini unatutesa sn safari hiiSema ukimgusa tu huyu namba 1, utapondwa mawe na kuitwa Sukuma Gang.
Nje mada kidogo, Kangala ni nini mkuu?
Mkuu mayalla kwani Rais ni Mungu kwamba haturuhusiwi kuhoji pale ambapo tunaona pana utata? OK yawezekana watanzania huwaonei huruma,Mkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
Mkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
Kwani Serikali ya JMT ni kuongozwa na Watanganyika tu? Kwamba Mzanzibar hana haki ya kuwa Rais wa JMT?Ndiyo maana hataki kwenda kuongoza Zanzibar kwao anapiga pesa za bure huku bara kwa wajinga
Mkuu Muuza Kangala , usituletee kangala zako asubuhi asubuhi, shughuli za rais ziko chini ya kifungu kiitwacho Vote 20, japo pia kinakaguliwa na CAG, kinatolewa tuu taarifa kwenye Kamati na hawaruhusiwi kuijadili. Hivyo usitake kujua kila kitu vitu vingine, havikuhusu!
P
Mkuu mayalla kwani Rais ni Mungu kwamba haturuhusiwi kuhoji pale ambapo tunaona pana utata? OK yawezekana watanzania huwaonei huruma,
Pascal mayalla ikiwa unaweza kuihudumia familia yako please jishughulishe na shughuli za kijamii....heshima ni nzuri kuliko fedheha ya kisiasa.
[emoji23][emoji28]
Mbona anajinasibu ni mwanahabari nguli?
Sijawahi kufikria Rais wa Nchi Kukaa Nje ya Nchi Yake Siku 10 Mpaka Sasa.Niliwahi kusikia mahala kuwa mkuu wa nchi yetu akiende nje ya nchi tu kwa siku inatumika mil 500.
Sasa hizi wiki mbili ni sh ngapi zimetumika?
Hii ni ziara ya kikazi au yupo vakesheni?