Kwa nini IGP anakubali Jeshi linachafuka Kwa sababu ya askari wachache ambao wametajwa Kwa majina na wanatuhumiwa? Kwa nini wasiwekwe Nje Ili Haki itendeke?Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.
Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.
Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.
Hatuna tena imani na Polisi.
Kwa nini IGP anakubali Jeshi linachafuka Kwa sababu ya askari wachache ambao wametajwa Kwa majina na wanatuhumiwa? Kwa nini wasiwekwe Nje Ili Haki itendeke?

Naona wamrudishe kangi lugolaKwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.
Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.
Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.
Hatuna tena imani na Polisi.
Ndio maana nika sema IGP hawezi epuka hizi lawama. Lazima na yeye ni sehemu ya tatizoKwa nini IGP anakubali Jeshi linachafuka Kwa sababu ya askari wachache ambao wametajwa Kwa majina na wanatuhumiwa? Kwa nini wasiwekwe Nje Ili Haki itendeke?
Unataka kusema haya yamejulikana baada ya Makonda kufanya ziara? Unaishi nchi ya wapi? Mbona haya ni malalamiko ya siku nyingi mno na tunaodai katiba mpya ni kwa sababu ya mambo kama haya?Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.
Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.
Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.
Hatuna tena imani na Polisi.
Muhimu ni subra na ustahimilivu maadamu imejulikana...Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.
Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.
Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.
Hatuna tena imani na Polisi.
Hakuna subira hapa, polisi wame kuwa na lawama nyingi, Mama amekaa kimya, sisi tuna tumia hakuna anae jali. Wananchi wame toa gubu lao mbele ya chama chaomuhimu ni subra na ustahimilivu maadamu imejulikana...
Polisi ni wahuni tu.Kwa tunaofuatilia mikutano ya mwenezi wa CCM ndugu Makonda, tutakubaliana kuna shida kubwa sana kwenye Jeshi la Polisi.
Kumekuwa na malalamiko ya watu kuporwa pesa na polisi, kumekuwa na shutuma za watu kupotea wakiwa mikononi mwa polisi. Tumesikia rushwa ndani ya jeshi la polisi.
Nadhani sasa ni muda muafaka Mwenye mamlaka ya uteuzi afanye reform ndani ya jeshi hili. Na aanze na Waziri, IGP, RPCs na ashuke hadi chini.
Hatuna tena imani na Polisi.
Reform in Police Force. Ripoti ya Tume Jinai iko wapiHakuna subira hapa, polisi wame kuwa na lawama nyingi, Mama amekaa kimya, sisi tuna tumia hakuna anae jali. Wananchi wame toa gubu lao mbele ya chama chao
Najua Ccm iko hapo ilipo kwa msaada wa polisi na taasisi nyingine za usalama, lakini hizo taasisi zisiwe kichwa ngumu kwa kudhani Ccm ita endelea kuwalinda.
Polisi watimize majukumu yao kikatiba. Na sio wawe majambazi.